Gazeti la Globo Esporte la nchini Brazil limelikisha picha za jezi
zinazotaraji kutumika kwenye fainali za kombe la dunia
zitakazofanyika nchini Brazil mwakani. Picha za jezi hiyo
ambayo itatengenezwa na Nike zilitaraji kuzinduliwa mwezi
Novemba mwaka huu.
No comments:
Post a Comment