AJALI YAHUSISHA MAGARI MANNE KURASINI
Ajali imetokea barabara ya Kilwa eneo la Ufundi Kurasini muda wa saa nne na nusu baada ya magari manne kugongana huku gari moja ya abiria (daladala) kuyumba na kuwagonjwa watoto watatu waliokuwa wamesimama wakisubiri kuvuka hakuna aliyepoteza maisha katika ajali hiyo majeruhi walikimbizwa hospitali na wanaendelea vizuri. (Picha na Betchezal Buha)
No comments:
Post a Comment