FOR SPORTS NEWS AND ENTERTAINMENTS UPDATES VISIT THIS BLOG
.

Saturday, November 24, 2012

Klabu ya Yanga juzi imesaini makubaliano ya upembuzi akinifu na kampuni ya Beijing Construction Engineering Group (BCEG) kutoka nchini China, juu ya mradi wa ujenzi wa Uwanja wa kisasa Kaunda katika eneo la makao makuu ya klabu Jangwani

No comments: