LIGI KUU KUENDELEA KUTIMUA VUMBI LEO
Ligi kuu Tanzania bara inaendelea tena leo katika viwanja tofauti wakati mabigwa watetezi Dar Young Africa wakiwa wageni wa Kagera Sugar .Wapinzani wao katika soka la bongo watakuwa Uwanja wa Taifa wakimenyana na Prison toka Mbeya msimamo Simba wanaongoza wakiwa na pointi na pointi kumi na tano
No comments:
Post a Comment