Mwenyekiti wa klabu ya Yanga Yusuph Manji amesema wamefikia
hatua hiyo baada ya uongozi na kamati ya utendaji kukaa na kujadili juu
ya hatua hiyo ambayo kampuni ya BCEG itaanza kazi wiki ijayo na pindi
itakapokamilisha michoro zoezi litakalofuata itakua awamu ya kwanza ya ujenzi wa
uwanja huo wakati huo huo mwenyekiti wa Yanga Yusuph Manji amesema wanataka kufanya kweli na si hadithi kama za majirani zao wa upande wa pili hivyo basi tusubiri na tuone hiyo itakuwa ni hatua kubwa kwa klabu ya Yanga kila la kheri Dar Young African.
No comments:
Post a Comment